WHO yarekodi kiwango cha juu cha maambukizi kwa siku 01:33:00 Shirika la afya ulimwenguni, WHO limesema jana kwamba limesajili rekodi mpya ya siku ya visa vya COVID-19, wakati idadi ikakaribia kwa har...Read More
Africa kwa kesi za corona zilizoripotiwa zapindukia 40,000 16:00:00 Idadi ya kesi za ugonjwa wa Covid-19 (Corona) zilizothibitishwa katika nchi za Afrika kufikia jana Jumamosi imepindukia 40,000, kutok...Read More
Breaking News: Waziri Augustine Mahiga afariki dunia baada ya kuugua ghafra 08:55:00 Rais Magufuli anasikitika kutangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria, Balozi Dkt.Augustine Mahiga(Mbunge) kilichotokea leo alfajiri Mei...Read More
Serikali ya Rwanda yatoa chakula kwa walioathiriwa na amri ya kukaa nyumbani 14:43:00 Famalia zilizoathiriwa na sheria ya kukaa nyumbani , nchini Rwanda zimeanza kupokea msaada wa Chakula kutoka kwa serikali ya nchi hiyo. Fa...Read More
Vikwazo vya corona Ujerumani vitakuwepo hadi Aprili 20 14:36:00 Kansela wa Ujerumani Angela Merkel amewashukuru Wajerumani na kusema kwamba kwa kiasi kikubwa wamekuwa wakitekeleza hatua zilizotangazwa z...Read More
Waziri Mkuu Majaliwa akanusha taarifa ya Shule, Vyuo kufunguliwa kesho 21:46:00 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao kwamba vyuo na shule vitafunguliwa kesho siyo za kweli. “Hizo ...Read More
Mbowe akiri kuuguliwa na mwanae 'Corona' 21:42:00 "Ni kweli mwanangu Dudley amethibitika kupatikana na Virusi vya Corona baada ya kupata homa za vipindi, kuumwa kichwa mfululizo na ku...Read More
Mgonjwa wa kwanza wa corona abainika Afrika Kusini 08:48:00 Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 38 nchini Afrika Kusini amebainika kuwa na virusi vya Corona. Wizara ya Afya nchini humo imethibitisha kuwa...Read More
Breaking News: Walimu watatu wauawa katika shambulio la kigaidi Kenya 10:30:00 Watu watatu wameuawa baada ya wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa Al Shabab kuvamia mji wa Garisa kaskazini mwa Kenya katika mpaka wa Kenya na...Read More
Ukraine kuwalipa fidia wahanga wa ajali ya ndege 09:19:00 Ukraine imetangaza leo kuwa itazilipa fidia ya dola 8,000 za Marekani familia za raia wake waliokufa kwenye ajali ya ndege iliyotokea Iran...Read More
58,904 kufikishiwa elimu ya sheria Nanyumbu 09:31:00 Katika kuhakikisha jamii inatambua haki na wajibu wake walau kwa uchache. Shirika la Ushauri na Mafanikio kwa Jamii(CHPO) ambalo ...Read More
Wanawake watatu mbaroni kwa kusafirisha madawa ya kulevya 17:54:00 Kamanda wa Polisi Mkoani Kagera Revocatus Malimi amesema wanawashikilia wanawake watatu kwa tuhuma za na kujihusisha na kusafirisha madawa...Read More
Bilioni 127 zatolewa kuchangia mfuko wa afya wa pamoja nchini 10:03:00 Wadau wa mfuko wa Afya wa pamoja (HBF) wanaofadhili upatikanaji wa huduma za afya ngazi ya jamii wachangia Shilingi Bilioni 127 ili kubore...Read More
Ratiba kamili Uchaguzi Mkuu wa CHADEMA 09:58:00 Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza ratiba ya uchaguzi wa viongozi wake ngazi ya Taifa ambapo mchakato huo unaanza na ...Read More
CCM yajisifu utekelezaji miradi kwa asilimia 90 09:18:00 Chama cha Mapinduzi CCM, kimesema kimeridhishwa na utekelezaji ya miradi ya maendeleo mkoani wa Arusha kwa zaidi ya asilimia 90. Katibu wa...Read More
Mfalme wa Thailand amvua vyeo mke wake kwa 'kutokuwa mwaminifu' 07:26:00 Mfalme wa Thailand Vajiralongkorn amemvua mkewe vyeo vyake kutokana na "tabia mbaya na kutokuwa mwaminifu kwa ufalme ". Aliteu...Read More
Kenya: Gari lililozama Likoni feri limetolewa 08:27:00 Gari lililozama baharini siku 13 zilizopita katika kivuko cha Likoni feri, mjini Mombasa pwani ya Kenya hatimae limetolewa. Hii ni baada y...Read More
Ripoti: China yaongoza katika uwekezaji barani Afrika 21:54:00 China ambayo katika miaka 4 iliyopita imewekeza barani Afrika dola bilioni 72,2 imekuwa ndio nchi ambayo inaongoza kwa uwekezaji wa moja k...Read More
Rais Mstaafu Kikwete ataka viongozi kuacha tabia ya kujikweza 10:25:00 Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete amewataka viongozi nchini kuachana na tabia ya kujikweza mbele za watu na badala yake kuishi kama binadamu wa...Read More
Halmashauri zatakiwa kuacha ubinafsi katika ardhi 10:48:00 Halmashauri nchini zimetakiwa kuacha tabia ya kufanya peke yake mambo yanayohusu ardhi kwakutozishirikisha taasisi nyingine zinazotoa hudu...Read More