Mgonjwa wa kwanza wa corona abainika Afrika Kusini

Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 38 nchini Afrika Kusini amebainika kuwa na virusi vya Corona.

Wizara ya Afya nchini humo imethibitisha kuwa mgonjwa huyo alitembelea nchi ya Italia akiwa na mke wake.

No comments

Powered by Blogger.