Mbowe akiri kuuguliwa na mwanae 'Corona'

"Ni kweli mwanangu Dudley amethibitika kupatikana na Virusi vya Corona baada ya kupata homa za vipindi, kuumwa kichwa mfululizo na kukohoa kwa siku tano" Freeman Mbowe

"Familia yangu inakiri kupokea ushirikiano wa kiwango kilichowezekana kutoka kwa Mamlaka za Serikali wakiongozwa na Waziri Ummy, hali ya Dudley imeimarika, homa zimekwisha, kichwa kimepona, bado anakohoa kiasi na yuko chini ya uangalizi maalum" Mbowe

"Mama yake ambaye ni Daktari alipobaini hali hiyo alizitaarifu Mamlaka za Serikali zinazoshughulikia janga hili nazo zilimtaka kijana apelekwe Hospitali ya Mwananyamala, DSM kwenye vipimo zaidi ambapo ilithibitika rasmi kuwa ana Virusi vya Corona" Mbowe

No comments

Powered by Blogger.