SIMBA SC yatoa tamko kuhusu ligi,yampongeza Rais Magufuli 16:08:00 UONGOZI wa Simba umesema kuwa Rais John Magufuli anaonyesha nini maana ya uongozi baada ya leo kusema kuwa anafikiria kurejesha lizi z...Read More
FIFA yapendekeza wachezaji wa akiba 5 kubadilishwa katika kila mechi 08:03:00 Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, limependekeza leo kwamba timu ziruhusiwe kufanya mabadiliko ya wachezaji watano wanapocheza badala ya wa...Read More
MIGUU YA MABEKI WA SIMBA SC INAVYOWAHUKUMU MAKIPA WAO 10:51:00ILIKUWA ni mchana ambao uliambatana na hali ya jua kali lililo mchoma yeyote aliyetembea barabarani kwa miguu. Nikiwa miongoni mwa watembea ...Read More
Simba yaibuka kidedea mbele ya Namungo FC 08:46:00 Simba wameibuka na ushindi wa 3-2 dhidi ya Namungo FC kwenye Dimba la Taifa. FT: Simba SC 3-2 Namungo FC Read More
Baada ya kutozwa faini, Uongozi Yanga watoa tamko lingine 09:23:00 Uongozi wa klabu ya Yanga umeendelea kusisitiza kuwa unasubiri barua rasmi ya adhabu iliyotolewa na Kamati ya Uendeshaji wa Ligi kufuatia ...Read More
Manara amvaa tena Nugaz "Misitu na wanyama wamekumiss bro!'' 10:28:00 Kama kawaida yake!! Baada ya kuona msemaji mwenzake kutoka Yanga, Antonio Nugaz, akichapia kwa kusema kuwa Yanga ikishinda mechi tatu itak...Read More
Arsenal yaifumua mabao 2-0 Manchester United 09:33:00 MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amesema kuwa amefurahishwa na uwezo wa vijana wake ndani ya Uwanja ana imani watafanya makubwa ndani y...Read More
Ghana, Senegal, Ivory Coast zashindwa kufuzu CHAN 2020 07:36:00 Ghana, Senegal na Ivory Coast zote zilishindwa kufuzu kwa kombe la mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani (CHAN) 2020 siku ya Ju...Read More
Hii hapa ratiba kamili ya Kombe la Shirikisho barani Afrika 21:50:00 Mechi zote za mtoano kuwania kuingia hatua ya makundi Kombe la Shirikisho barani Afrika zitapigwa Oktoba 27 na mechi za marudiano ni Novem...Read More
Simba yaichapa Biashara United, Kagere hakamatiki 08:43:00 Klabu ya Simba SC leo Septemba 20 wameendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyeji wao, Biashara ...Read More
Antonio Nugaz awatuliza mashabiki wa Yanga na kichapo cha Zesco 09:34:00 Ofisa Uhamasishaji wa klabu ya soka ya Yanga, Antonio Nugaz amefunguka kuwa wao ni wakimataifa licha ya kupoteza mchezo wa klabu bingwa Af...Read More
Ratiba ya mechi za ligi kuu Tanzania Bara Jumapili hii 09:31:00 Ligi kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea kutimua vumbii Jumapili ya leo kwa mechi tatu tofauti. Kenye mechi ya kwanza mbayo itachezwa ...Read More
Barcelona yaishushia kichapo Valencia 12:42:00 Klabu ya Barcelona imewashushia mvua ya magoli Valencia kwa kuichapa magoli 5-2 kwenye mchezo wa Ligi ya Hispania. Magoli ya Barcelona y...Read More
Norwich City yaiadhibu Manchester City 12:25:00 Teemu Pukki (kushoto) akikimbia kushangilia baada ya kuifungia Norwich City bao la tatu dakika ya 50 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Manche...Read More
Benzema aibeba Real Madrid 12:23:00 Karim Benzema amefunga mabao mawili dakika za 25 na 31 katika ushindi wa 3-2 wa Real Madrid dhidi ya Levante leo Uwanja wa Bernabeu mjini ...Read More
Kocha wa simba afunguka kuhusu kikosi chake 08:09:00 Kocha mkuu wa klabu ya Simba Patrick Aussems, amesema kuwa uwezo wa wachezaji wake umeimarika hivyo ana imani kubwa watakuwa na kitu cha k...Read More
Marekani mabingwa Kombe la Dunia Wanawake 23:07:00 Marekani imetwaa ubingwa wa Kombe la Dunia kwa Wanawake kufuatia ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Uholanzi katika mchezo wa fainali uliopigw...Read More
Brazil yatwaa kombe la Copa America 2019 23:04:00 Brazil yatwaa ubingwa wa kombe la Copa America 2019 ikiwa ni mara ya 9 kuchukua ubingwa huo. Brazil wameichapa Peru goli 3-1 kwenye mchez...Read More
Picha: Mashindano ya kuendesha baiskeli uchi 09:07:00 Picha hizi zinaonyesha watu wakishiriki katika tukio la kuendesha baiskeli wakiwa uchi mjini Toronto,Canada. Picha hizi zinaonyes...Read More
Ronaldo ampeleka Matthijs de Ligt Juventus 20:16:00 Beki wa Ajax na timu ya Taifa ya Uholanzi Matthijs de Ligt amesema kuwa ameombwa kujiunga na mabingwa wa Italia Juventus na Cristiano Ron...Read More