Manchester United na Liverpool hakuna mbabe
Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford (kushoto) akiwatoka wachezaji wa Liverpool Sadio Mane na Virgil van Dijk katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester timu hizo zikitoak sare ya bila kufungana.
Liverpool inafikisha pointi 66 katika mechi ya 27 ikiendelea kuongoza Ligi Kuu kwa pointi mbili tu sasa zaidi ya mabingwa watetezi, Manchester City, wakati United inafikisha pointi 52 baada ya kucheza mechi 27 ikishuka kwa nafasi moja hadi ya tano.
Katika mchezo huo umeshuhudia wachezaji wa Manchester United Ander Herrera, Juan Mata na Jesse Lingard pamoja na wa Liverpool Roberto Firmino wakishindwa kuendelea na mchezo kutokana na kupata majeruhi kipindi cha kwanza cha mchezo huo.

Post a Comment