Klabu ya Atletico Madrid imeibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya klabu ya Villarreal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Hispania. Magoli ya Atletico Madrid yalifungwa na Alvaro Morata dakika ya 31 na jingine likifungwa na Saul Niguez dakika ya 88.
Post a Comment