Arsenal yapanda hadi nafasi ya nne

Klabu ya Arsenal imeibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya klabu ya Southampton kwenye mchezo wa Ligu Kuu Uingereza. 

Magoli ya Arsenal yalifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 6 na jingine likifungwa na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 17. 

Kwa ushindi  huo unaifanya kalabu hiyo kupanda hadi nafasi ya nne kwenye msimamo wa Ligi hiyo.

No comments

Powered by Blogger.