Korea Kaskazini yaionya Marekani

Korea kaskazini imeitolea onyo Marekani kwamba itarejea kwenye sera za nchi hiyo za kutengeneza silaha za nyuklia kama Washington isipoondoa vikwazo vikali vya kiuchumi dhidi taifa hilo. 

Kwa miaka  Korea kaskazini imekuwa ikitekeleza sera yake ya "byungjin" ambapo nchi hio ilikuwa ikiendeleza uwezo wake wa silaha za kinyuklia pamoja na uchumi. 

Mwezi April kiongozi wa peninsula hio ya Korea Kaskazini alitangaza kwamba nchi yake sasa itajikita kwenye kujenga uchumi wa kijamaa na kuachana na suala la uendelezajiwa silaha za kinyuklia.

No comments

Powered by Blogger.