Kagere aendeleza moto wa Simba


Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi, Simba SC leo Novemba 3 kimeweza kuibuka na pointi tatu muhimu kibindoni baada ya kuifunga JKT Tanzania kwa goli 2 - 0 

Mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Mkwakwani Mkoani Tanga, mabao mawili ya Meddie Kagere yalitosha kuipa Simba ushindi wa ugenini mbele ya maafande hao wa JKT Tanzania

No comments

Powered by Blogger.