Updates: Bayern Munich yapeleka ofa mpya Chelsea

Klabu ya Bayern Munich imetangaza dau jingine ambalo linafikia £30m kwaajili ya kiungo mshambuliaji wa Chelsea Callum Hudson-Odoi. 

Hudson-Odoi amebakiza miezi 18 kumaliza mkataba wake wa sasa na klabu yake ya Chelsea, Wakati huo huo amekataa kuongeza kusaini mkataba mpya na klabu hiyo. 

Chelsea wanaamini mchezaji huyo anathamani ya £40m.

No comments

Powered by Blogger.