Pogba akosa mazoezi Manchester United

Kiungo wa Manchester United Paul Pogba, amekosa mazoezi Jumatano hii baada ya taarifa ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mpenzi wake wiki hii. 

Mchezaji huyo hakuwa sehemu ya wachezaji wa United katika mazoezi kwenye eneo la Carrington Jumatano hii. 

 Pogba ambaye kwasasa kiwango chake kimezidi kuimarika tangia Manchester United iwe chini ya kocha wa muda Ole Gunnar Solskjaer amweza kuonyesha uwezo wa hali ya juu klabuni hapo.

No comments

Powered by Blogger.