Mafuriko yaua watu 16

Watu 16 wameripotiwa kufariki kutokana na kujaa kwa maji katika mto Sicilia  Kusini mwa Italia. 

Mto huo umeripotiwa kujaa maji kutokana na mvua kali zilizonyesha katika eneo hilo. Mafuriki yaliosababisha uharibifu mkubwa yamepelekea pia  maafa hayo  Kusini mwa Italia. 

Polsi immefahamisha kuwa watu wawili katika eneo hilo la mafuriko hadi kufikia Jumapili majira ya usiku  hawajulikani walipo. 

Mvua  na mafuriki  katika eneo hilo Kusini mwa Italia zimeanza kwa zaidi ya  masaa kadhaa. 

Vyombo vya haabari nchini humo vilikuwa vimefahamisha kuwa watu 18 pekee ndio waliofariki katika  mafuriko hayo na kutangaza baadae kuwa idadi ya watu waliofariki imeongezeka na kufikia watu 28 kote nchini Italia. 

No comments

Powered by Blogger.