E.A.G.T MBUGAN.kyela Roho waufunuo
E.A.G.T. MBUGAN KYELA.
KARIBU TENA KATIKA MFULULIZO WA NENO LA MUNGU.
leo tupo katika sehem ya pili
Natumain unabarikiwa na utakuwa mzima kabisa.
Wa afya kaapamoja nami tusome na kuya sikiliza maneno matakatifu.
Nijumapil ya kipekee mtumishi wa mungu KENNETH KASUNGA" akitufundisha neno la mungu. Ambalo bwana amesema nae katika ibaada.
SOMO LETU LA LEO:
BWANA AFUNGUE SIRI YA MAMBO YOTE MAZURI YALIYO JIFICHA MACHONI PANGU/ PAKO..
EFESO 1:16
ZABURI 119:18
BRANIA 4:13
2WAFLME 6:10
MWANZO 21:15
ISAYA 45:2:3
Utayasoma maandiko matakatifu.
Ngoja tuendelee na baadh ya maneno na mafundisho
*lazma niingie katiaka utukufu wangu.
*roho wa ufunuo akiwa juu yangu atanifunulia mambo yote yaliyo jificha.
* moyo wa ufunuo na uwe juu yangu sasa.
*kwa utajir na utukufu na uweza
Na ukuu ndani yetu.
*ninayo hazina kubwa iriyo fichwa machoni pangu bwana nipe moyo wa ufunuo.
* roho wa ufunuo unitembelee/akutembelee pokea usibaki gizan miaka yote.
*mipaka yako yote leo ipunuliwe.
*Roho wa ufunuo na iwe juu yangu sasa niyaone maajabu yatokayo kwako.
*roho wa ufunuo nakuhitaji leo nipate kuyaona mema yote.
*nipate kuyajua mazuri yote.
*eebwana adui zangu wakikaa kuni jadili, roho wa ufunuo uniongoze.
*roho wa ufunuo ukiwa juu yangu ntaona mema na mabaya.
*ukiwa na roho wa ufunuo huta ogopa chochote.
ASANTE MPENDWA KWA LEO SEHEM YA PILI HATUNA LA ZIADA UKISOMA MANENO HAYA UJUE JINS UFUNUO WA BWANA UNAVYO TENDA KAZ TUKUTANE TENA SEHEM IJAYO USISAHAU KUSOMA KULASA ZA MANDIKO MATAKATIFU MUNGU AKUTIE NGUVU URIKIWE EATG MBUGAN KELA
Post a Comment