Simba kukipiga na Yanga Jumamosi
Baada ya klabu ya Simba kuiadhibu klabu ya Al Ahly bao 1-0 kwenye mchezo wake wa pili nyumbani katika mshindano ya Klabu Bingwa Afrika itashuka dimbani siku ya Jumamosi 16 Februari 2019 kuminyana na watani wao wa jadi Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara.
Mchezo huo unatarajiwa kua mkali sana kwani kila timu inataji kuondoka na pointi zote tatu na mshabiki wanausubiri kwa hamu kubwa mchezo huo.
Mchezo huo unatarajiwa kua mkali sana kwani kila timu inataji kuondoka na pointi zote tatu na mshabiki wanausubiri kwa hamu kubwa mchezo huo.

Post a Comment