Kocha wa Simba aomba mashabiki wajitokeze kesho
Kocha wa klabu ya Simba Patrick Aussems, amesema bado wana kazi ngumu ya kuendeleza rekodi ya furaha kwa mashabiki kwa kupata matokeo chanya Uwanjani.
Simba wameanza kumega viporo vyao taratibu huku mpaka sasa wakiwa wamebeba pointi12 kwa Mwadui, African Lyon, Yanga na Azam FC na kazi yao inayofuata ni ushind mbele ya Lipui FC,Uwanja wa Samora.
"Tumefanya kazi kubwa na kuwapa furaha mashabiki wetu, hivyo tunajua bado tuna kazi kubwa ya kuendeleza furaha kwa mashabiki, tutaendelea kupambana ili kupata matokeo Uwanjani, kikubwa sapoti, hivyo nawaomba mjitokeze kwa wingi Iringa kutupa sapoti," amesema Aussems.
Simba wanashika nafasi ya tatu kwenye msimamo huku vinara wakiwa ni Yanga wenye pointi 61 wakiwa wamecheza michezo 27 huku Simba wakiwa wamecheza michezo 18.

Post a Comment