Matukio katika picha: Kikosi cha Simba kilivyowasili DR Congo

 Kikosi cha Simba kimewasili salama mjini Kinshasa, nchini DRC ambapo siku ya Jumamosi Januari 19, 2019 kitacheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita Club ya huko. 

No comments

Powered by Blogger.