Gigy na Mo J mahaba kama yote 'Ulipo niroga nipeleke na mimi nikuroge'


Msanii wa Muziki, Gigy Money amefunguka juu ya mahusiano na mzazi mwenzake, Mo J. 

Gigy ameandika katika ukurasa wake wa Instagram kuwa yeye na Mo J hawana matatizo yoyote na wapo salama. 

"Mimi Na baba Mayra atuna Matatizoo Yoyotee tupo Salama ata msijali/ mm Mwenyewe daily namcheat sema ajuagi Tu kwaiyo Tufanye kama kateleza na wewe baby siku Nyingine angalia class kuna Wengine watakuzalilisha ila Sio mbaya Up & downs tulaleni sisi tumelala hapa wenzenu nadanganywa tu Text za kutengeneza ila Ndio ivyo bwana tushazoea kuachwa nakurudiwa rudiwa," aliandika Gigy Money. 

"Nakufaaaaaaawaaawa Nakupenda baba Mayra Wangu Wachaa waseme atuwanunulii bundle uzuri ni kwamba ulikua Kwenye process ujafanya so Ile ela ya kuku ntumie kwenye Namba Yangu tununue lactogen Na ya Usafirii pampas .Black season Jamani uwa lisiwatishe Sio Mambo ya zari ila Babe ulipo niroga nipeleke Na mm nikuroge, Bwanaa aki Sawa kwa wote kama ulihisi umeniumiza sana Hapanaa nimefurahi sanaaaa baba naruka naruka." 

Mara nyingi imekuwa kwa Gigy wakikoseana na Mzazi mwenzio amekuwa akimtolea maneno ambayo si mazuri kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii. 

No comments

Powered by Blogger.