Fabregas kukimbilia kwa Thierry Henry

Vilabu vya Chelsea na Monaco vipo kwenye harakati ya kukubaliana katika uhamisho wa kiungo wa Chelsea Cesc Fabregas kwenda Ligue 1 kukipiga kwenye klabu ya Monaco. 

Fabregas mwenye umri wa miaka 31 ameshindwa kupata nafasi nyingi za kucheza kwenye klabu yake chini ya kocha  Maurizio Sarri. 

Pia kiungo huyo atakutana na Thierry Henry ambaye walicheza wote wakiwa Arsenal lakini kwasasa Henry ndio kocha wa klabu ya Monaco.

No comments

Powered by Blogger.