Ebitoke afunguka kuhusu kuwa bikra


Mchekeshaji nchini, Ebitoke amefunguka kuwa na bikra kama alivyowahi kusema hapo awali. 

Ebitoke kupitia Wasafi Tv, amesema kuwa bikra ya wapi hiyo? amesema ilienda na upepo. 

"Bikra bikra ya wapi hiyo mwenzangu ilienda na upepo," alisema Ebitoke. 

Miaka kadhaa iliyopita, Mchekeshaji huyo aliwahi kusema yeye ni bikra na anamtumzia msanii wa muziki, Ben Pol ambapo kwasasa msanii huyo yupo katika mahusiano na mtu mwingine

No comments

Powered by Blogger.