Baada ya shambulio kutokea Nairobi, Watu maarufu Tanzania watoa pole


Baada ya Polisi nchini Kenya kupitia ukurasa wao wa Twitter, kuthibitisha kutokea kwa shambulio 14 Riverside, Nairobi na kushauriwa Polisi kutopitia eneo hilo. Ambapo Milipuko miwili mikubwa ya risasi ilisikika na baadaye ufyatuaji wa risasi, Baadhi ya watu maarufu nchini Tanzania wametoa pole kwa nchi hiyo kupitia mitandao mbalimbali ya Instagram. 

Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ameandika: "Maombi yangu yapo kwenu KENYA...Poleni sana na Inshaallah Mwenyez Mungu atawasimamia." 

Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu aliandika "Unfolding situation at Dusit hotel in Nairobi following terror attack moments ago. I pray for the safety of everyone caught in harm's way. I can see helicopters flying over and security and emergency services personnel rushing in and out. Sad indeed. Mungu awasaidie waokoe maisha." 

Naye Rayvanny ameandika "Poleni Sana Ndugu Zangu #KENYA MUNGU YUPO." 

No comments

Powered by Blogger.