Chile yakumbwa na tetemeko
Nchi ya Chile inayopatikana bara la Amerika ya kusini imekumbwa na tetemeko la ardhi la ukubwa wa 6.2.
Taasisi ya utafiti wa kijiolojia ya kimarekani (USGS) imetoa taarifa kwamba kitovu cha tetemeko hilo ni kilomita 118 kutoka mji wa Iquique, na kina chake ni kilometa 91.
Tetemeko hili halijasababisha vifo wala uharibifu wa mali.

Post a Comment