Yanga yaichimba mkwara KMC
Ofisa habari wa timu ya Yanga Dismas Ten amesema kuwa malengo ya timu ni kuweza kupata ushindi hasa katika michezo ya duru la kwanza .
"Malengo yetu ni kuhakikisha kwamba tunafanikiwa kushinda mechi zetu zote za duru la kwanza ili kuweza kujiweka katika nafasi nzuri ya ushindani ligi kuu.
"Tupo imara na tunajua kuwa mpira unachezwa uwanjani hivyo kitu kikubwa ambacho tunakifikiria ni point tatu,tunajiaandaa kwa ajili ya mchezo wetu ujao dhidi ya KMC tutapambana ili kushinda"alisema .

Post a Comment