Waziri Lugola alivyofanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha Polisi

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola alifanya ziara ya kushtukiza katika kituo cha Polisi kati Dodoma ili kujionea baadhi ya kazi zinazofanyika ambapo amebaini kasoro mbalimbali na kutoa maagizo kwa mkuu wa jeshi la Polisi nchini IGP Simmon Siro pamoja na makamanda wote wa Polisi mkoa.

No comments

Powered by Blogger.