Bondia Hassan Mwakinyo kupanda ulingoni leo usiku

 Bondia Hassan Mwakinyo baada ya kumpiga bondia muingereza kwa TKO na kumpiga Bondia mkongwe Said Azidu wiki iliyopita kwa TKO round ya kwanza sekunde ya 10. 

Leo usiku wa October 28 2018 atacheza pambano lake la kuwania mikanda miwili ya World Boxing League (WBL) na Universal Boxing Organization (UBO) dhidi ya bondia Mmalawi Joseph Sinkala. 

Hassan Mwakinyo akifanya maandalizi yake ya mwisho kabla ya kupanda ulingoni leo katika pambano la roud 10 dhidi ya Joseph Sinkala katika uwanja wa Mkwakwani Tanga.

No comments

Powered by Blogger.