BREAKING: Rais Magufuli afanya uteuzi huu

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Humphrey P.B. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ushindani Nchini (The Fair Competition Commission-FCC) 

No comments

Powered by Blogger.