Barcelona yaipa kichapo cha mbwa mwizi Real Madrid

Klabu ya Barcelona imefanikiwa kuwachabanga mahasimu wao Real Madrid goli 5-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu nchini Hispania (La Liga) . 

Magoli ya Barcelona yamefungwa na Coutinho x1 na Luis Suarezx3 huku Arturo Vidal akitupia goli la 5 na Madrid wakipata goli la kufutia machozi kupitia kwa Marcelo. 

Kwa matokeo hayo, Barcelona wanaongoza Ligi kwa pointi 21 wakifuatiwa na Atletico Madrid wenye alama 19 huku Real Madrid wakiwa nafasi ya 9.

No comments

Powered by Blogger.