Mambo muhimu ya kuzingatia ili kujikinga na Magonjwa ya Moyo
Ili kuweza kujikinga na magonjwa ya moyo unatakiwa kuzingatia yafuatayo;
1. Pima shinikizo la damu angalau mara moja kwa mwaka.
2. Hakikisha unakuwa na uzito sahihi
3. Fanya Mazoezi.
4. Punguza matumizi ya Chumvi kwenye Chakula.
5. Kula zaidi Matunda, Mboga za Majani na Vyakula ambavyo havina Mafuta.
6. Punguza matumizi ya Pombe.
7. Iwapo umegundulika kuwa na tatizo la shinikizo la damu,tumia dawa kama ulivyoelekezwa.
Post a Comment