Jeshi la Polisi limewataka wananchi kuwapuuza watu wanaosambaza ujumbe kwenye mitandao ya kijamii unaowaelekeza watumiaji wa simu za mkononi kuwa wanaweza kujisajili kwa kutumia mfumo (Link).
Post a Comment