VIDEO: Wakala wa Kagere afunguka Simba kukataa mil 938 za Zamalek (EXCLUSIVE)


Wakala wa mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere, amefunguka kuhusu mchezaji huyo kutakiwa na Zamalek ya Misri ambayo ilikuwa tayari kumsajili kwa dola 400,000 ambazo ni zaidi ya shilingi milioni 938 za Kitanzania. Pia wakala huyo ameelezea sababu ya Simba kukataa ofa hiyo kubwa. 

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE

No comments

Powered by Blogger.