Simba yapewa TP Mazembe Robo Fainali

Ratiba ya Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika imetoka leo ambapo klabu ya Simba ya Tanzania itakutana na TP Mazembe ya DR Congo. 

SimbaSC akimfunga TP Mazembe atakutana na mshindi kati ya CS Constantinois v Espérance Sportive de Tunis nusu fainali. 

Ratiba kamili ni kama ifuatavyo; 

CS Constantinois v Espérance Sportive de Tunis 

Mamelodi Sundowns v Al Ahly SC 

Horoya AC v  Wydad Athletic Club 

Simba v TP Mazembe 

Michezo ya kwanza ya Robo Fainali itachezwa 5,6 April 2019 na marudio 12,13 April 2019.

No comments

Powered by Blogger.