Ukiikubari dhambi basi wewe ni wa mautini.
MOTO WA INJIRI UME WAKA
Nimwendelezo wa neno la mungu katika kanisa la E.A.G.T MBUGANI
WILAYA YA KYELA.
Simo letu leo CHANZO CHA MABAYA YOTE NI SHETAN.
shetan kaleta
Mateso.magonjwa
Shida mbalimbali zitupatazo zinatokana na adui shetan. NI MASOMO MAZURI YA NENO LA MUNGU. Tusome andiko katka kitabu cha yakobo 1:17 na yeremia 29:11 warumi 6:12:23
Yohana 10:10
Hapo mpendwa utapata kujua mambo mbalimbali kupitia neno la mungu. Dhambi na shetani ni wauwaji
Dhambi kwa jina lingine ni mauti.
Karama ya mungu ni AMANI NA UZIMA
Ukiikubari dhambi basi wewe ni wa mautini.
Shetani na dhambi ni adui wetu.
Dhambi sio tukio bali ni roho
Dhambi haina mshahara mwingine zaidi ya mauti.
Tambua makao makuu ya dhambi ni kuzim
MPENDWA KWA SOMO FUPI NADHAN UTAKUWA UMEJUA BAADHI YA MAMBO YA MUNGU ENDELEA KUWA NASI ASANTE TUTAKULETEA MASOMO ZAID SIM
0718155829
Post a Comment