Kupokea uweza/ nguvu ya kutu wezesha katika mambo yote.
NI Mwendelezo mzuri wa neno la mungu.
SOMO LETU LEO :
KUPOKEA UWEZA/ NGUVU YA KUTU WEZESHA KATIKA MAMBO YOTE.
tusome maandiko matakatifu.
Matahayo 4:23-25
Luka 4:32-36
Luka 24:19
Luka 9:1
Luka 24:49
Filip4:13
M.mitume 6:8
Mchungaji akitufundisha neno la mungu.
Hali ya kuto kuweza inaweza kuja kuwa dhaifu.
Usikubali kuwa na maisha ya kushindwa.
Yesu alikuwa na uwezo wa kutoa pepo.
Inatakiwa tuwe na uwezo kutoka juu.
Ni lazima tuwe na uwezo wa kihekima ya kimbingu.
Uwezo mbele za bwana na uwezo mbele za watu.
AMENI BILA SHAKA MANENO MACHACHE HAYA YATA KUSAIDIA UTAZIDI KUPATA MASOMO ZAID MUNGU AKUBARIKI SANA
Kwa shida mbalimbali mtapata uponyaji kupitia neno la mungu na mchungaji atakuombea amen
Kanisa lipo kyela mbugan
E.A.G.T MBUGAN
W.KYELA
MKOA WA MBEYA
Post a Comment