TFF yasisistiza hakuna mabadiliko ya ratiba kwa mechi ya Simba na Yanga

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) kupitia kwa msemaji wake Cliford Ndimbo, limesisitiza kuwa mechi ya Simba na Yanga itapigwa tarehe 16, Februari 2019 kama ilivyopangwa na hakuna mabadiliko yoyote. 

Mechi hiyo inategemewa kuwa yaushindani sana baada ya kila timu kumtambia mwenzie hivyo kufanya mashabiki wa timu hizo kuisubiri kwa hamu kubwa mchezo huo.

No comments

Powered by Blogger.