Migos kuipamba albamu ya Kanye West
Kundi la Migos kutoka nchini Marekani ni miongoni mwa wasanii watakaoshiriki kwenye albamu ya rapper Kanye West inayokwendwa kwa jina la Yandhi.
Rapper kutoka kwenye kuni hilo Quavo kweye mahojiano na radio Power 106 alisema kuwa wamefanya kitu kwenye album hiyo ya Kanye West.
Ifikapo November 23, 2018 ndipo albamu hiyo ya Kanye West itatoka baada ya kuhaiirishwa kutolewa mwezi huo, October.

Post a Comment