Hili ndilo Daraja refu zaidi Duniani lililogharimu Trilioni 45

Serikali ya China imezindua daraja refu zaidi duniani linalokatiza baharini na kuunganisha Miji ya Hong Kong na Macau, urefu wa daraja hilo ni sawa na umbali wa kutoka DSM mpaka Mlandizi na limegharimu zaidi ya Tsh. Trilioni 45 kujengwa. 





No comments

Powered by Blogger.