Simba yazinduka, yaishushia kipigo Mwadui
Mabao pekee ya Simba yamewekwa kimiani na Nahodha John Bocco aliyeingia kambani mara mbili dakika za 41 kwa njia ya penati iliyotokana na kiungo Shiza Kichuya kufanyiwa madhambi eneo la hatari kisha kufunga tena dakika ya 45.
Bao la tatu la Simba liliwekwa kimiani na straika Meddie Kagere katika dakika ya 51 ya kipindi cha pili na kumfanya afikishe Safari ya Kanda ya Ziwa imemalizika na furaha leo kunako dimba la CCM Kambarage Shinyanga kwa wekundu wa Msimbazi, Simba kuibuka na ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Mwadui FC.
Mabao pekee ya Simba yamewekwa kimiani na Nahodha John Bocco aliyeingia kambani mara mbili dakika za 41 kwa njia ya penati iliyotokana na kiungo Shiza Kichuya kufanyiwa madhambi eneo la hatari kisha kufunga tena dakika ya 45.
Bao la tatu la Simba liliwekwa kimiani na straika Meddie Kagere katika dakika ya 51 ya kipindi cha pili na kumfanya afikishe jumla ya mabao manne msimu huu tangu uanze.
Wakati huo bao pekee la mwadui FC lilipachiwa kiminia na Charles Ilanfya katika dakka dakika ya 82 kipindi cha pili ikiwa ni mapema baada ya Nahodha wa Simba, John Bocco kupewa kadi nyekundu iliyotokana na kumpiga ngumi mchezaji wa Mwadui FC.
Post a Comment