Aunty Ezekiel awashushia waraka mzito wanaoingilia penzi lake
Msanii wa Filamu, Aunty Ezikiel amewatolea uvivu wanaompa ushauri baada ya kuachana na baba mtoto wake Mose Iyobo.
Aunty amesema kuwa yeye hafundishwi maisha hivyo amemtaka kila mtu kuishi maisha yake, huku akisema maisha yake ni yake yeye na familia yake na sio ya kwao.
"Habari Zenu......Naitwa Aunty Ezekiel (Mama Cookie)Nimeona niaongee hili ili kuwa nafasi ya kila Mmoja muendelee na kazi zenu Maana naona Leo kuna wengine Mmeacha yenu kabisa kama kawaida wajuzi watoa nasaha Washauri wa Instargam Mnaojua Maisha kushinda Mtu yoyote yule Mnaojua kuna kudharirika kushinda Wenye Maisha yao.....Bana natamani Mjue tuu labda kama kuna wageni humu kwa Wenyeji naomba mfahamu mm sifundishwi Maisha plz plz plz Endeleeni na Yenu msinifundishe chakufanya Najidharirisha kuwa na bwana Mwingine mnataka nipige Puchu!!Alafu naomba ikumbukwe haya ni Maisha yangu Mm na Familia yangu sio ya kwenu," ameandika Aunty.
"Hata hayo Mnayoyaona now mliyapenda ni Mm ndio nilifanya myapende mlianza hvyohvyo so plz Naomba tuu niwakumbushe THIS IS MY LIFE......Na hayo mnayotamani niyaongee sitakaa niongee kwa taarifa yenu Mm nimefundwa sijatoka juu ya Miti nimelelewa siwezi Muongelea Mtu aliyenipeleka labour hata Iweje mana haya Majina hayawezi Kubadilika tutabadilika Sisi na Mahusiano yetu sio Hili jina la Huyu Mtoto plz."
"Msipende kugombanisha Watu nyie hamtaki watu waachane kama Nani khe!Tufe na Majanga ya kuvumiliana Ndani kisa Instagram watanionaje!Huo Upuuzi sijafanya bado Naishi Maisha Yangu nitakayo sio Mtakayo Nyinyi."
'Nina Maisha yangu Ana Maisha yake hayo ni Makubaliano Yetu nyinyi yanawahusu Nini!!!
Looh!hebu plz bana .....Mnataka watu hadi siku wasisalimiane ndio uwa Mnaona utamu!!!PUMBAVU Hebu naomba Mniache plz....Nina Mtoto anaejua kuchezea simu na siku Moja atakuwa atayakuta mnataka anichukulie Vp!!!
"Naomba Mniache na haya yote nafanya couse of My Baby Girl na sio Mwingine Yoyote.......Msije mkajipa Imani eti nitaona haya oooh mara kujidharirisha Mama zenu wabadili Mabwana sisi tukibadili tunajidharirishaa Aaah kina Mwajuma Vp babuuu."
"Hebu tufunge huu Mjadala mnalotaka hamtalipata kwangu, endelea kuenjoy na Picha kutoka Nyanda za juu kabisa Nikiwa na haka kamarioo au kashoga toka Zanzibar, kwangu mm kahand someboy.
Post a Comment