Wizara ya Mifugo na Uvuvi yapendekeza kufutwa kwa tozo 10


Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameeleza kuwa baada ya kufanya mapitio Wizara imetoa mapendekezo ya kufutaa tozo 10 ambazo ni kero kwa wafugaji. 

Waziri Mpina amewasilisha Bungeni hotuba ya bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2019/2020 jumla ya Shilingi Bilioni 64.9 

Katika Hotuba yake Bungeni leo waziri huyo miongoni mwa vitu alivyoeleza ni pamoja na kuwa Wizara inafanya mapitio ya kanuni ya ukamataji wa mifugo ili kuzuia ukamataji holela wa mifugo. 

No comments

Powered by Blogger.