Mbunifu wa Bendera ya Afrika Kusini afariki dunia


Mbunifu wa bendera ya nchi ya Afrika Kusini ambayo inatumika hivi sasa, Fred Brownell, 79 amefariki dunia. Brownell aliibuni bendera hiyo mwaka 1993. 

Picha: Brownell akiwa ameegemea bendera aliyoibuni na picha nyingine ni bendera ya zamani ya bnchi hiyo. 

No comments

Powered by Blogger.