Diamond na Mrembo Lyyn watukanana mtandaoni


Msanii wa Muziki,  Diamond Platnumz amejikuta akitukanana na mrembo Lyyn mtandaoni. 

Inadaiwa Diamond amemtuhumu mrembo huyo kutaka kuwatenganisha na mpenzi wake Tanasha, Daimond amepost akimtuhumu mrembo huyo kumtumia picha za kumshawishi. 

Hii imetokana na baada kuvuja picha ikionyesha Mrembo huyo akiwa kwenye kitanda ambacho pia amekuwa akilala mrembo Tanasha kutoka Kenya. 

Mrembo huyo nae amemjibu Diamond kwa kusema ataachia video Kama ushahidi ili Diamond aache ushamba na kuwa mtu mavimavi. 


No comments

Powered by Blogger.