Watoto wawili wauawa kwa sababu ya imani za kishirikina


Watoto wawili wa familia moja wakazi wa kijiji cha Mashule mkoani Kagera wameuawa kikatili na watu wasiojulikana kwa kukatwa shingo na vitu vyenye ncha kali kisha miili yao kutelekezwa kwenye pori lililopo karibu na nyumba ya wazazi wao. 

Kamanda wa Polisi mkoani Kagera Kamishina Msaidizi Isack Msengi amesema kuwa jeshi hilo linawashikilia watu 9 na kueleza kuwa upelelezi wa awali unahusisha mauaji hayo na imani za kishirikina. 

No comments

Powered by Blogger.