Wasanii Diamond na Rayvanny wafunga mtaa

Wasanii  Diamond Platnumz na Rayvanny leo Alasiri wamefunga mtaa katika maeneo ya Posta Jijini Dar Es Salaam, ambapo imeelezwa kuwa wawili hao wapo location ku-shoot video ya wimbo wao mpya. 


Kwa mujibu wa maelezo ya watu wa karibu, waliokuwepo kwenye eneo la tukio wameeleza kuwa hali hiyo imesababisha baadhi ya mitaa na barabara kufungwa ili kupisha zoezi hilo.

No comments

Powered by Blogger.