Salah Khashoggi aondoka Saudia

Mtoto wa  mwanahabari alieuawa katitka ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul  Salah Khashoggi a ameondoka  mjini Riyadh na kujielekeza nchini Marekani. 

Mwanafamilia mmoja wa Khashoggi ameviambia vyombo vya habari ya Marekani  kuwa mtoto wa Jamal Khashoggi , Salah Khashoggi alikuwa amezuiliwa miezi ya nyuma kuondoka Saudia na kufahamisha kuwa mtoto huyo ameondoka Alkhamisi mjini Riyadh na kujielekeza nchini Marekani. 

Salah Khashoggi amejielekeza nchini Marekani katika jimbo la Virginia ambapo atakutana na wanafamilia wengine.

No comments

Powered by Blogger.