Professor Jay kuachia albamu ya tano mwaka huu
Msanii mkongwe wa muziki wa hip hop Bongo, Professor Jay ametangaza kuachia albamu yake mpya kwa mwaka huu.
Hiyo itakuwa ni albamu ya tano kutoka kwa Professor Jay na nyimbo zake kama Pagamisa, Vunja Mifupa, Yatakwisha na nyinginezo zitapakani huko.
"Ninaamini kwamba mpaka mwishoni mwa mwaka huu nitakuwa na albamu nyingine inaitwa The Icon ambayo itakuwa na hzi nyimbo ambazo unazisikia, kwa hiyo watu wawe tayari kwa hii albamu yangu mpya," Professor Jay ameiambia BongoStarExclusive.
Albamu ambazo hadi sasa Professor Jay ameshatoa ni Machozi Jasho na Damu 2001, Mapinduzi Halisi 2003, Joseph 2015 na Aluta Continua 2008.

Post a Comment