BADDEST 47. Anatamba na ngoma ya NIKAGONGEE


Huyu ndiye msanii WA kizaz kipya
Anaye Tamba na ngoma
Yake mpya
Inayokwenda kwajina la
NIKAGONGEE.  Nikijana kutoka Kyela mkoa WA mbeya  Nani producer. anafanyakaz na wasanii weng Sana
Mfaham DJ a.k.a baddest 47 kila kona nchini Tanzania ngoma inafanya vizur mji WA Kyela utasikia nikagongee.
Kiukweri tuwaunge mkono wasanii WA nyumban kuwashauri na
Kuwapa njia Iri mziki WA Kyela usonge
Mbele wapo wanamzik wazur na
Wenye vipaji tunao hapa.

0718155829















No comments

Powered by Blogger.