Ajari nyingine yatokea Morogoro, wawili wanusulika
Ajali hiyo imehusisha gari aina Noah yenye namba za usajili T 491 DES iliyokua ikitokea Morogoro kuelekea kKilombero iliyoigonga gari nyingine aina ya Ford yenye namba T 757 DHF na kugonga daraja na kupinduka ambapo mashuhuda wamedai dereva wa noah alikuwa akijaribu kukwepa korongo lililo karibu na daraja.
Dereva wa Noah alikataa kuzungumza lolote kuhusiana na ajali hiyo ambapo wasamaria wema walifanya jitihada za kuwaokoa watu hao na kupisha shughuli za usafiri zilizokwama kwa muda kuendelea, huku mwenyekiti wa kitongoji cha Mang'ula kidatu akawasihi madereva kuwa makini

Post a Comment