Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau wahamishiwa hospitali ya Muhimbili 09:42:00 Wasanii wa Bongo Fleva Lulu Diva, Belle 9 na Bonge la Nyau waliopata ajali wakiwa wanatokea mkoani Iringa wamehamishiwa Hospitaliti ya Tai...Read More
HARMONIZE ''sina mazoea na Diamond tangu niondoke wasafi 16:13:00MWASISI wa Konde Worldwide, mwanamuziki Harmonize, amesema hivi sasa hana uhusiano wowote na bosi wake wa zamani wa kundi la Wasafi Classic...Read More
Baada ya kuolewa Barnaba ajipanga kufuta tatoo ya mzazi mwenzake 09:03:00 Msanii wa bongo fleva, Eliasi Barnaba maarufu Barnaba amesema mpango wake aliokuwa nao kwa sasa ni kufuta tattoo ya mama mtoto wake ambayo...Read More
WCB kusafiri na Treni ya Deluxe kuelekea Kigoma 10:48:00 Kampuni ya Wasafi (WCB) ambayo pia inasimamia wanamuziki wa kizazi kipya na vyombo vya habari nchini inatarajia kufanya safari kutoka Da...Read More
Mfahamu mwanamziki shaggy kiundani zaidi 22:39:00 Oktoba 22, 1968 alizaliwa msanii wa muziki wa reggae kutoka nchini Jamaica maarufu kwa jina la Shaggy. Jina lake halisi ni Orville Richard...Read More
Mfahamu Wayne Rooney kiundani zaidi 10:08:00 Rooney alizaliwa Croxtech mjini Liverpool kwa wazazi Jeanette Marie na Thomas Wayne Rooney. Rooney ni wa asili ya Ireland. Rooney al...Read More
jue historia ya mwigizaji maarafu nchini india Shahrukh Khan 23:42:00 Novemba 2, 1965 alizaliwa mwigizaji nyota na prodyuza raia wa India maarufu Shahrukh Khan. Amekuwa akitumia kifupisho cha maneno SRK. Aliz...Read More
Aunty Ezekiel amzawadia Wema Sepetu Gari 10:54:00 Kama ni mfuatiliaji wa masuala ya burudani na stori za mastaa wa hapa Bongo, bila shaka utakuwa unafahamu kama mrembo Wema Sepetu hushereh...Read More
Tanasha wa Diamond mjamzito? 21:20:00 Kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii hakuishi maneno na mitazamo tofauti tofauti juu ya watu mbalimbali hasa wale watu mashuhuri. Mpen...Read More
Aunty Ezekiel awashushia waraka mzito wanaoingilia penzi lake 21:15:00 Msanii wa Filamu, Aunty Ezikiel amewatolea uvivu wanaompa ushauri baada ya kuachana na baba mtoto wake Mose Iyobo. Aunty amesema kuwa yey...Read More
Trey songz apata mtoto 09:25:00 Msanii wa R&B Marekani, Trey songz ametangza kupata mtoto. Kupitia mtandao wa Instagram ameweka picha ya mtoto wake wa kiume aliyempa...Read More
Msanii Drake ashinda tuzo 12 kwa usiku mmoja 09:14:00 Msanii wa muziki nchini Marekani, Drake ameshinda tuzo 12 usiku wa kuamkia leo kwenye sherehe za utoaji wa tuzo za Billboard Music. Kwa D...Read More
Diamond na Mrembo Lyyn watukanana mtandaoni 09:21:00 Msanii wa Muziki, Diamond Platnumz amejikuta akitukanana na mrembo Lyyn mtandaoni. Inadaiwa Diamond amemtuhumu mrembo huyo kutaka kuwate...Read More
Ifahamu historia ya Jimmy Master (J.PLUS) kwenye Filamu za ngumi 07:55:00 Wengi tunamfahamu kwa jina la J. Plus wengine Jimmy Master lakini jina lake kamili anaitwa Jimmy Mponda. Huyu ni msanii mkubwa sana kwenye...Read More
Zawadi ya Tanasha aliyompa Diamond kwenye Valentine’s Day 07:40:00 Kwenye Valentine day Diamond alimsuprise mpenzi wake studio kwa kuagiza kundi la watu waliompelekea maua, kadi na vitu vingine. Tanash...Read More
Gigy na Mo J mahaba kama yote 'Ulipo niroga nipeleke na mimi nikuroge' 23:51:00 Msanii wa Muziki, Gigy Money amefunguka juu ya mahusiano na mzazi mwenzake, Mo J. Gigy ameandika katika ukurasa wake wa Instagram kuw...Read More
Tanasha atahadharishwa kuhusu penzi la Diamond na familia yake 23:40:00 Mahusiano kati ya Diamond Platnumz na Tanasha kila kukicha yanazidi kugonga vichwa vya habari, toka mwisho mwa mwaka jana yamekuwa yakichu...Read More
Nay wa Mitego afunguka ishu ya ndoto ya Urais 08:53:00 Msanii wa Muziki, Nay wa Mitego amefunguka ishu ya kugombea nafasi ya uongozi nchini. Nay wa Mitego ameiambia EATV, kuwa ana ndoto ya ...Read More
Ruby amhoji Shetta 'Unataka kushindana na Diamond Platnumz?, Kisa? 22:06:00 Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, amefunguka ishu iliyopelekea yeye kuondoka lebo King Empire ambapo walikuwa pamoja na Shetta. Ruby kuwa...Read More
AliKiba athibitisha kinywaji chake kuanza kupatikana Dar rasmi 21:45:00 Msanii wa muziki, Alikiba amethibitisha kuwa kinywaji chake cha Mofaya kuanza kupatikana katika mkoa wa Dar Es Salaam. AliKiba kupitia uk...Read More